Tujulishane kuhusu Kilimo cha Coriander/Giligilani: Mbegu bora, Utaalamu, Magonjwa, Mazingira na Masoko

Tujulishane kuhusu Kilimo cha Coriander/Giligilani: Mbegu bora, Utaalamu, Magonjwa, Mazingira na Masoko

Kuna jamaa ana tani moja alivuna mwaka Jana hadi sasa hajauza...vipi kilo ni sh ngapi?
 
Sokorho, kuna uzi mpya wa SHAMBA DARASA humu, moja ya vitu wanavyoshulikia ni viungo, na kuna namba ya simu. Jaribu kuwa cheki labda wanaweza saidia
 
Sawa mkuu [HASHTAG]#Antimatter[/HASHTAG] ngoja niutafute huo uzi.
 
Mkuu [HASHTAG]#Farahhassani[/HASHTAG] uko mkoa gani na unahitaji kiasi gani, unahitaji giligilani za mbegu au majani?
 
Kilimo cha giligilani ni pasua kichwa

Zikizidiwa na mvua/maji hazipandi zinaishia katikati

Nilijaribu nusu heka chini ya mtaalamu wa kilimo ila tukafeli

Labda ujaribu na wewe mkuu
 
Back
Top Bottom