wilbald JF-Expert Member Joined Dec 17, 2007 Posts 1,810 Reaction score 1,377 Jan 4, 2018 #21 Kuna jamaa ana tani moja alivuna mwaka Jana hadi sasa hajauza...vipi kilo ni sh ngapi?
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 47,274 Reaction score 126,778 Jan 4, 2018 #22 Sokorho, kuna uzi mpya wa SHAMBA DARASA humu, moja ya vitu wanavyoshulikia ni viungo, na kuna namba ya simu. Jaribu kuwa cheki labda wanaweza saidia
Sokorho, kuna uzi mpya wa SHAMBA DARASA humu, moja ya vitu wanavyoshulikia ni viungo, na kuna namba ya simu. Jaribu kuwa cheki labda wanaweza saidia
farah hassan JF-Expert Member Joined Apr 9, 2016 Posts 492 Reaction score 370 Jan 4, 2018 #23 wilbald said: Kuna jamaa ana tani moja alivuna mwaka Jana hadi sasa hajauza...vipi kilo ni sh ngapi? Click to expand... Nahitaji.nanunua kwa 1300
wilbald said: Kuna jamaa ana tani moja alivuna mwaka Jana hadi sasa hajauza...vipi kilo ni sh ngapi? Click to expand... Nahitaji.nanunua kwa 1300
wilbald JF-Expert Member Joined Dec 17, 2007 Posts 1,810 Reaction score 1,377 Jan 5, 2018 #24 farah hassan said: Nahitaji.nanunua kwa 1300 Click to expand... Tsh 6000/kg
Sokoro waito JF-Expert Member Joined Nov 21, 2014 Posts 2,201 Reaction score 2,599 Jan 5, 2018 #25 Sawa mkuu [HASHTAG]#Antimatter[/HASHTAG] ngoja niutafute huo uzi.
Sokoro waito JF-Expert Member Joined Nov 21, 2014 Posts 2,201 Reaction score 2,599 Jan 5, 2018 #26 Mkuu [HASHTAG]#Farahhassani[/HASHTAG] uko mkoa gani na unahitaji kiasi gani, unahitaji giligilani za mbegu au majani?
Mkuu [HASHTAG]#Farahhassani[/HASHTAG] uko mkoa gani na unahitaji kiasi gani, unahitaji giligilani za mbegu au majani?
farah hassan JF-Expert Member Joined Apr 9, 2016 Posts 492 Reaction score 370 Jan 5, 2018 #27 wilbald said: Tsh 6000/kg Click to expand... Sawa
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 Jan 6, 2018 #28 Kilimo cha giligilani ni pasua kichwa Zikizidiwa na mvua/maji hazipandi zinaishia katikati Nilijaribu nusu heka chini ya mtaalamu wa kilimo ila tukafeli Labda ujaribu na wewe mkuu
Kilimo cha giligilani ni pasua kichwa Zikizidiwa na mvua/maji hazipandi zinaishia katikati Nilijaribu nusu heka chini ya mtaalamu wa kilimo ila tukafeli Labda ujaribu na wewe mkuu
Sokoro waito JF-Expert Member Joined Nov 21, 2014 Posts 2,201 Reaction score 2,599 Jan 4, 2019 #29 Wakuu, wapi unajua kuna soko la giligilani hapa Tanzania?