Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Ulinirecomend Dove soap hadi x wangu ananisifia nina ng'aa siku hizi.

Hahhaaa Hamna kukaa kinyonge ukipiga na Showergel yake

Uweke Old spices stick deodorant
Umalizie na hicho kitu hapo

Dada anaomba namba upyaa
 
Hahhaaa Hamna kukaa kinyonge ukipiga na Showergel yake

Uweke Old spices stick deodorant
Umalizie na hicho kitu hapo

Dada anaomba namba upyaa
Taratibu bwanaaa.. Nimeanza na Sabuni na Lotion.. Niongeze nini sasa. 🤣🤣🤣.
 
We acha masihara hiyo ndio bei ya hiyo perfume kwahiyo kumbe mfuko umetoboka
Bro perfume kwa 600k dah bado sana. Kuna kipindi napendeza Nilinunua perfume elfu 30 aisee siku nipo misele madogo wakapuliz yote nililia sana ile siku mshua akauliza unalia kisa perfume kwan umenunua bei gan ikabidi niseme elfu 3 maana home ukisema umenunua perfume 30 dah hela ya kula family mwezi mzima mshua alinitoa buku 2 akasema nikaongezee buku ninunue.. ila one day tutanukia izo za madolali mzee ngoja akarakati ziendelee
 
Nachoshangaa kwamba nna perfume ya 600k bila kujua thamani yake au muandishi kakosea ni 65k
 
Naombeni mnisaidie utofauti Kati ya Perfume na Body spray
Kuuliza siyo ujinga kuuliza ni kujifunza
 
Dove unapata kwa 4000 zipo za aina tofauti.
Lotions Nilinunua ya 22 unyama sana..

Uyo Madam Hornet ni Mwaisa kinoma ova Pharmacist.. Anazijua sana

22,000 ni ipi umenunua bro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…