Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Katika nilizo zitaja hapo juu, hii Camau sijawahi itumia ni rafiki yangu ali recommend. Nikaona si vibaya nikajaribu, ila ndio bado sijapata.
NB: Changamoto mojawapo ya utumiaji wa perfume niliyoigundua ni kwamba perfume aina moja inaweza kukuvutia wewe sana, lakini kwa mwingine ikawa kinyume chake. Hivyo la msingi ni kufuata nafsi yako inachofurahia zaidi. Hizi recommendations za watu wengine zitatusaidia tu kutupa mwongozo au mwelekeo fulani, lakini mwamuzi wa mwisho ni wewe mtumiaji wa bidhaa husika.
Umenena vema kabisaa.
 
Back
Top Bottom