Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Just call me Maxi kabla ya uchakachuaji na kupotea madukani.
PLEYEL niliwahi kuiona kwenye gari ya mzee Mimi na bro wangu tukajipulizia, ni balaa.
Tukahangaika maduka yote ola. Na ile tulioyoiona kwenye gari hatukuiona tena.
Sijui kama alipewa zawadi kutoka ng'ambo nae akaamua kuigawa.
 
Ha ha ha eti mlipokea zawadi. Napenda sana kunukia, Creed nilitaka ninunue ila muuzaji akanishauri Sauvage Elixir, nayo sio mchezo mkuu. Ni moto ila lile licreed nilivyopewa nilitest lilikuwa ni moto, lina harufu kama ya mbao hiviiii. Hatari sana.
Perfume ya milioni moja🤗
 
Nimetafuta sana. Anayejua zilipo hapa Bongo anijulishe tafadhali
Screenshot_20241231-133524_Chrome.jpg
 
Attachments

  • -68bmml.jpg
    -68bmml.jpg
    39.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241228-170531_Chrome.jpg
    Screenshot_20241228-170531_Chrome.jpg
    182.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241228-165554_Chrome.jpg
    Screenshot_20241228-165554_Chrome.jpg
    196.4 KB · Views: 3
Issey Miyake hii aliwahi tumia mkaka tukiwa site, nlishindwa kujizuia, nkamuuliza ndo akanitajia.

Nliitafuta na nkaipata, tatizo nktumia mie napiga chafya sana na kuhisi kutapika, ila akitumia mwingne ile harufu hainikeri.

Sielewi shida nn, aaaah
 
Yara ndio habari ya mjini 🔥🔥🔥🔥🔥
Happy new year DEPO
Nimeitumia 2024 yote
Nikimix na sauvage ya oil.. nanukia almost siku nzima. Nisipomix mnukio haufiki saa 8 🤣Yara inanukia utam utam sana. Naipa 85 over 100.

Haha wishes zimetosha. How do we make money this year?
Have the Blessed one ever..
 
2024 nilikuwa na kapink sugar tu
Mwaka huu nimehamia Yara mazima... Inanifaa pia Kwa hali yangu ya aleji maana haiumizi sana.

Narudi kwenye biashara yangu ya kuzurula na perfumes😂😂😂..
Kila la kheri Depal katika harakati za kutafuta pesa, Bwana asikupungukie.
 
Issey Miyake hii aliwahi tumia mkaka tukiwa site, nlishindwa kujizuia, nkamuuliza ndo akanitajia.

Nliitafuta na nkaipata, tatizo nktumia mie napiga chafya sana na kuhisi kutapika, ila akitumia mwingne ile harufu hainikeri.

Sielewi shida nn, aaaah
Unapiga nyingi mno coca wetu
 
2024 nilikuwa na kapink sugar tu
Mwaka huu nimehamia Yara mazima... Inanifaa pia Kwa hali yangu ya aleji maana haiumizi sana.

Narudi kwenye biashara yangu ya kuzurula na perfumes😂😂😂..
Kila la kheri Depal katika harakati za kutafuta pesa, Bwana asikupungukie.
Yan Yara ukiwa kwa 1st born mkubwa haishiwi kutoa hugs 🤣🤣

Rudi tu mwaya.. by force by power za halali zinatafutwa as much as you can..

Amen SA.. Tubarikiwe sote.. & more wins in every good we put our hands to.
 
Camou Active niliwahi iona kwa best angu, sema haikunivutia kwa upande wangu.
Katika nilizo zitaja hapo juu, hii Camau sijawahi itumia ni rafiki yangu ali recommend. Nikaona si vibaya nikajaribu, ila ndio bado sijapata.
NB: Changamoto mojawapo ya utumiaji wa perfume niliyoigundua ni kwamba perfume aina moja inaweza kukuvutia wewe sana, lakini kwa mwingine ikawa kinyume chake. Hivyo la msingi ni kufuata nafsi yako inachofurahia zaidi. Hizi recommendations za watu wengine zitatusaidia tu kutupa mwongozo au mwelekeo fulani, lakini mwamuzi wa mwisho ni wewe mtumiaji wa bidhaa husika.
 
Issey Miyake hii aliwahi tumia mkaka tukiwa site, nlishindwa kujizuia, nkamuuliza ndo akanitajia.

Nliitafuta na nkaipata, tatizo nktumia mie napiga chafya sana na kuhisi kutapika, ila akitumia mwingne ile harufu hainikeri.

Sielewi shida nn, aaaah
Jaribu kasablanker
 
Mkuu OG si itakuwa bei sana? Mimi nanunuaga perfuma za kupima? Hivi creed aventus vipi jamani?
Kama una access ya kuagiza bidhaa mtandaoni agiza huko bongo wanapiga sana fake,mie niliichukua Taobao juzi nimetoka kupokea Zara Vibrant Leather 60mls.
IMG_20250224_125208.jpg
 
Back
Top Bottom