Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

1. Liquid Brun 95,000
2. Vintage Radio 80,000
3. Club de nuit intense Man 130,000/=
4. 9PM 150,000
Ukizigaka kama.uko popote pale TZA Nicheki inbox. Hata kama uko Mkoani na Basi toka DAR zinafika huko. Utaipata.
Sijaweka picha ya Cdnim ni very common. Inajulikana sana.
 

Attachments

  • 20250221_064830_mfnr.jpg
    20250221_064830_mfnr.jpg
    185.3 KB · Views: 1
  • 20250221_064807_mfnr.jpg
    20250221_064807_mfnr.jpg
    188.4 KB · Views: 1
List ya nilizonazo
  1. 212-Heroes are forever young.
  2. Zara Gold.
  3. Savior Pendora Scents
  4. Bogoss Vibrant-favourite
  5. Antique Brown
  6. Hugo boss dark blue
  7. Tomford black Orchid
 
Tatizo hizi perfume/spray za kibongo ni clone halafu wanauzia bei za orginal nachukia sana!! Ila ukienda SA unarudi na vitu vya ukweli
Ni kweli ukinunua hapa bongo umeliwa wanauza perfume fake kutoka china na uturuki, perfume nunua duty free shops au nchi zenye viwango
 
Mimi natumia AXE but kuna perfume moja nilipewaga zawad na mtu wa ujeruman inaitwa VANITAS, ni balaa, yan had ofisin walijua kama nimespray something new n waliipenda, pia hata ukiifua nguo wakati wa kunyosha kile kiharufu chaja, unfortunately sijawahi kubahatika kuipata madukani hapa dar licha ya kuuitafuta sana na huyo wa ughaibun kasharudi bongo, please kama kuna mtu anaifahamu au anajua inapopatikana please let me know, I am ready to buy at any price less than 150k.
mkuu ulipata hii
 
Back
Top Bottom