Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Kwa Dar es Salaam nawapata wapi mkuu. Kuna duka lipo Mlimani City wanauza perfume, almost linatazamana na duka la miwani (pembeni ya Shoppers), aisee sio poa.

Oil perfume au Syrian perfume?

Kama ni oil, wauzaji wake wapo wengi tu maarufu akiwa Emascent yupo Sinza Kumekucha na Mikocheni Wichita tower, M'city pia kuna wadada wanauza wapo opp na duka la LG au karibu na duka la StreetSoulz, mwingine ni Faboolass yupo Sinza Madukani ile, PerfumeHouse wapo Sinza Kijiweni opp na fuel station ya Puma upande wa pili wa barabara...

Kama ni Wasyria M'city wapo maduka mawili, moja karibu na ile studio maarufu ya picha (jina limenitoka) au opposite na duka la Samsung... na duka lao la pili lipo karibu kama sio na Tigo shop basi Airtel shop...

Jamaa mwingine wa hizi makitu yupo Shoppers ya Mikocheni ndani, kwenye ile main corridor yenye wauzaji wa vitu tofauti tofauti, yupo karibu na wauza Ice cream...
 
Nitaomba niende kwa uyu, hao wa Mlimani unalipia vingi hadi kuwaona warembo.

Maduka ya Mlimani yote nimeyajua uwa napita kama siyaoni.

Kwa anaeanza, nianze na oil au Syrian perfume?

Bei za oil au syrian M'city na maduka ya nje ni sawa tu...

Anza tu na Syrian ni mbadala bora kama huna uwezo wa kuafford original perfume...

Mimi huwa nanunua oil perfume lakini huzitumia kama freshener kwenye gari au home...
 
Kwahiyo kwa 30-40 napata kitu kizuri.
 
YSL Y umewah tumia?
kama yes,nipe maoni yako umeionaje

Screenshot_20240929_210128_Gallery.jpg

Ni moja ya perfume niliyonayo kwa sasa, huko juu kuna comment utaiona nimeweka, just go for it kama ni mpenzi wa aromatic, woody, freshy spicy...
 
Hii ninayo ya kupima, kwa kweli very nice hwa ramz lattafa wanajua aisee
 
Attachments

  • Screenshot_20240928_232739_UC Browser.jpg
    Screenshot_20240928_232739_UC Browser.jpg
    167.5 KB · Views: 21
Perfume za kupima zikichanganyika na jasho harufu yake ni mbaya haifai

Jimmy choo
Lovely
Clinique ndo nazotumia zikiisha nabadilisha brand
 
Perfume za kupima zikichanganyika na jasho harufu yake ni mbaya haifai

Jimmy choo
Lovely
Clinique ndo nazotumia zikiisha nabadilisha brand

Huwa unaappy vipi?

Pulizia perfume kwenye nguo au zile pulse points za mwili...

Sehemu za ze kwapaz pendelea kutumia deo stick...
 
Huwa unaappy vipi?

Pulizia perfume kwenye nguo au zile pulse points za mwili...

Sehemu za ze kwapaz pendelea kutumia deo stick...
Napulizia kwenye nguo huko kwapani kuna deodorant
 
nan amewahi kuitumia hii,nmeiona sehemu jamaa anaisifia sifia ,nimeulizia dukan inauzwa 20k
20241102_000107.jpg
 
Back
Top Bottom