1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Nliwai inunua kali mno😂, nikijpulizia tu mwanangu anapiga chafya hata kama amelala,,Sema niliruka na huu ushauri nikaagiza hiyo kitu kwa Emat asee, kwangu mimi ni miongoni mwa worst products nilizowahi tumia. Nikifungua tu kifuniko napiga chafya kabla ya kujipulizia.
Pesa yangu iliteketea bure wife alijaribu nae katoka nduki imebaki kama pambo tu kabatini. Mara mia zile product za Syria
Sijrudia tena,, inasambaa kwa haraka sana,, kali mno