Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Emat perfume zake kali, sio uongo.
Yan uwa napulizia nguo, naingia kuoga. Mpaka nitoke imekaa moderate.

Syria perfume baba lao, nimetumia pink sugar yao aisee ni kunukia utamu tu
Wanapatkana wapi hao syrian perfume?
 
Pink sugar ni sukari sukari tu
Yaani ni utamu.

Ipo Black opium pia.

Hizo perfumes 2 ukinunua na usipozipenda
Njoo uninyonge.
Nimeona nikikuta PINK SUGAR si ielewi basi moyo wangu usuuzike na scandal ambayo nina experience nayo.

Ngoja nihesabu wataoniuliza najipulizia nini.

IMG_20240125_200402_875.jpg
 
Ungeziseparate halafu uone unyama wa pink sugar

Scandal haioni ndani japo nayo ni kali.
Juzi nilipita sinza nikainunua ila bado siiskii harufu yake. Mi napenda nikipjipulizia niiskie haswa sa sijui wale watu wa sinza(Arison)wameichakachua. Mpaka nikakumbuka sexgravity yangu. Sio mbaya ila siiskii[emoji1751][emoji1751][emoji1751].
 
Pink sugar haiwaki sana kama sex gravity
 
mi ni me. natafuta perfume ya kumzawadia mdada bila kumuuliza. ipi si ya kishamba kwa less 100k,
binafs perfume nzuri huwa najari bei sijui kuthaminisha harufu!
wauzaji huwa wananipiga watakavyo. siku hizi hadi nauziwa za kuchanganya. ilimradi kura za ndiyo zikishakuwa nyingi nanunulishwa tu!
 
Back
Top Bottom