Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
HahahaTubikra kama twote.. hongera mkuuš
HahahaTubikra kama twote.. hongera mkuuš
Mi kuna perfume waliisifia weee nkasema acha nikanunue inaitwa Club De Nuit Intense Man, nikalipa 120 kuja kusikia harufu yke aisee nilichoka najuta bora ningeendelea na perfume zngu za 40.Mimi Creed aventus imenishinda ingawa niliinunua kwa bei kubwa aise,yani nimeishia kumpa binti yangu wa chuo,Nimebaki na collection zangu za kizamani One Million+Blue De Chanel+Sauvage na hivi karibuni nimeongeza Strong na Reef 33 na Imagination ya L.Vuitton.
Ila natafuta za kiarabu kama 2 hivi ili niongezee kwenye collection yangu,nimeambiwa moja unaitwa Noir.
Nakuhakikishia jaribu INVICTUS utaleta mrejeshoMimi Creed aventus imenishinda ingawa niliinunua kwa bei kubwa aise,yani nimeishia kumpa binti yangu wa chuo,Nimebaki na collection zangu za kizamani One Million+Blue De Chanel+Sauvage na hivi karibuni nimeongeza Strong na Reef 33 na Imagination ya L.Vuitton.
Ila natafuta za kiarabu kama 2 hivi ili niongezee kwenye collection yangu,nimeambiwa moja unaitwa Noir.
Are you sure?ngoja next week ntaleta mrejesho wa InvictusNakuhakikishia jaribu INVICTUS utaleta mrejesho
Mkuu hiyo Club de Nuit harufu yake ni Creed mtupu,niliinunua baada ya kuachana na Creed,yani nilipoitumia siku hiyo nikampa wife ampelekee mshua wake kijijini,yani ni Creed iliyo korogwa korogwa.Mi kuna perfume waliisifia weee nkasema acha nikanunue inaitwa Club De Nuit Intense Man, nikalipa 120 kuja kusikia harufu yke aisee nilichoka najuta bora ningeendelea na perfume zngu za 40.
Kuna hii itafute pia i hope utaipenda.
View attachment 3675319
dah
Hebu tujuzane hapa aina ya Perfume au Body spray unayotumia! Mimi natumia Knowledge Perfume, wewe je?
UlijaribuAre you sure?ngoja next week ntaleta mrejesho wa Invictus
Hahaha aiseMkuu hiyo Club de Nuit harufu yake ni Creed mtupu,niliinunua baada ya kuachana na Creed,yani nilipoitumia siku hiyo nikampa wife ampelekee mshua wake kijijini,yani ni Creed iliyo korogwa korogwa.