Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Mimi Creed aventus imenishinda ingawa niliinunua kwa bei kubwa aise,yani nimeishia kumpa binti yangu wa chuo,Nimebaki na collection zangu za kizamani One Million+Blue De Chanel+Sauvage na hivi karibuni nimeongeza Strong na Reef 33 na Imagination ya L.Vuitton.
Ila natafuta za kiarabu kama 2 hivi ili niongezee kwenye collection yangu,nimeambiwa moja unaitwa Noir.
 
Mi kuna perfume waliisifia weee nkasema acha nikanunue inaitwa Club De Nuit Intense Man, nikalipa 120 kuja kusikia harufu yke aisee nilichoka najuta bora ningeendelea na perfume zngu za 40.

Kuna hii itafute pia i hope utaipenda.
 
Nakuhakikishia jaribu INVICTUS utaleta mrejesho
 
Mkuu hiyo Club de Nuit harufu yake ni Creed mtupu,niliinunua baada ya kuachana na Creed,yani nilipoitumia siku hiyo nikampa wife ampelekee mshua wake kijijini,yani ni Creed iliyo korogwa korogwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…