Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Karibuni oriflame mtapata perfume nzuri na za aina mbalimbali karibuni sana, mnaweza kuwasiliana na mimi kwa namba +255718163132
 
Karibuni oriflame kuna perfume nzuri na za aina mbalimbali wake kwa waume, wadada kwa wakaka. Pia na vipodozi vilivyotengenezwa kwa mimea asilia kwa ubora na afya ya ngozi yako. Karibuni sana mnaweza kuni PM muda wowote au kwa simu namba +255718163132 au +255672416294
 
Natumia products za Chris Adams! Active Woman au Active man perfumes. Spray ya Active Woman
 
[emoji109] tuko pamoja,, kila nikibadirisha aina nyingine najihishi nimebugi,,

[emoji117] [emoji125] alafu najikuta nimerudia tena shalis remy marquiz,,
Kuan mdada alikua anatumia hii akati tuko boarding. Yaani chupa moja haikai wiki mbili, alikua anaoga spray. Tukawa tunamfukuza akaspray nje ndo arudi bwenini. Harufu yake haipalii
 
Duuh! Perfune laki na upuuzi!!! Hizi level za wenyewe aisee! Tutafika tu huku. Ila kwa sasa niendelee tu na zile za buku teni!!! [emoji4]
 
Samahani Wakuu,Creed, Botega Venetta,Versace ,Polo Black which one kwa 140,000/naweza pata???na ni sehemu gani dar??0758216382
Specify, kuna creed aventus, creed green irish tweed, creed silver mountain water etc (take note kiwa perfumes za niche/creed ni kuanzia 350,000 kwenda juu). Versace kuna versace eros, versace pourhomme etc
Umewahi jaribu eternity? Nayo ni nzuri mno ya huyo huyo calvin clein
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…