Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Hivi kwa hapa bongo ni wapi naweza pata hizi original perfume?
 
Well said.thanks again
 
BVGARI MAN naweza kuipata wapi kwa Dar (Tz) mara ya mwisho nilinunua Ethiopia Airport kwa 50usd
 
Nina allergy na manukato, zaidi natumia MUSK only
 
BVGARI MAN naweza kuipata wapi kwa Dar (Tz) mara ya mwisho nilinunua Ethiopia Airport kwa 50usd

Kwa Dar sijajua...mimi niliiona kwenye mall Bangalore na bei yake ilikua 5000 rupees tuu ila kuna nyingine inaitwa Skinn steele by Titan ni ya france ina scent kama ya bvlgari man in black
 
Reactions: CDG
BVGARI MAN naweza kuipata wapi kwa Dar (Tz) mara ya mwisho nilinunua Ethiopia Airport kwa 50usd
JD Pharmacy. Hawa jamaa itabidi wanilipe nawatangazia sana biashara.
 
BVGARI MAN naweza kuipata wapi kwa Dar (Tz) mara ya mwisho nilinunua Ethiopia Airport kwa 50usd
Mimi kuna mtu alishawahi niletea zawadi ila ni BVGARI GOLDIEA ilikuwa imeandikwa in Tshs. 245,000/= inawezekana zipo maduka makubwa.
 
Ushawahi kupata compliments kuhusu huu unyunyu?
 
Sana tu ni nzuri na inakaa sana mwilini hata mwilini napo inakaa vizuri japo nina nyingine za victoria secret, Burberry Body, Agent Provocateur Fatale intense lakini still Goldie kwangu ni best.. Huwa napakaa tu nikitoka kwenda kwenye sherehe tu.
 
Victoria secret ulinunua wapi?,nataka nikamchukulie mtu as a gift.
 
Mimi ni mpenzi sana wa manukato hata mwanaume wangu napenda nimsikie akinukia harufu za manukato mazuri na ya bei. Inanipa hamasa sana ya kuwa nae hasa falagha na hio ni weakness yangu kubwa sana. Hata mkaka akiwa smart na ananukia vizuri yaani natokea kumkubali balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…