Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Manukato ya bei ni lazima lakini,au kunukia tu vizuri?
 
Ngoja weekend hii nipite hapo na mimi ninukie vizuri.Nishazichoka hizi deudorant na spray za nivea
 
Manukato ya bei ni lazima lakini,au kunukia tu vizuri?
Lazima yawe ya bei bei kidogo hizi cheap perfume nyingi ni mtihani. Mind me tunaishi na bf mbali mbali lakini huwa nikiondoka nachukua kitambaa changu cha mkononi na kipulizia perfume yake ambayo hata nikifua haitoki na miminia kweli na huwa naweka chini ya mto ninao lalia. Hadi siku tukionana tena nitapulizia tena. Mambo ya distance yanatesa sana.
 
Unapulizia perfume yake ili ufeel like yupo around au?..long distance relations zina tabu kweli.
 
Ngoja weekend hii nipite hapo na mimi ninukie vizuri.Nishazichoka hizi deudorant na spray za nivea
Pitia pale utakuja kunishukuru hapa wana karibu brand zote unazojua wewe... Zinanukia vizuri sana hadi mtu anaweza kuuliza umepaka perfume gani. Bf nae ni mpenzi sana wa perfume ngoja siku nikionana nae nitaangalia pefrume alizonazo nitawatumia majina.
 
Nitajitahidi mkuu nipite.Kuna jamaa yangu alikuwa ananisimulia stori yake ya kupata a cute girl,kisa girl alipenda tu anavonukia vizuri
 
Ninapokuwa down nikisikia harufu tu basi napata feelings yupo around... Pia inanifanya nione kama yuko karibu nami kupenda kubaya [emoji23]
That's nice,kuliko kuchepuka kidogo[emoji23][emoji23]
 
Nitajitahidi mkuu nipite.Kuna jamaa yangu alikuwa ananisimulia stori yake ya kupata a cute girl,kisa girl alipenda tu anavonukia vizuri
Ki ukweli wanawake tuna husudu sana mkaka anayenukia vizuri hata heshima inakuwepo. Usifanye mchezo una mkiss mtu shingoni unasikia manukato mazuri really ina ongeza mood ya show sana... Naweza kukun"gata shingo au hata akikumbatia wadada wanaelewa how it feels..
 
Kumbe,itabidi tuanze kweli kunukia vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…