Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Mimi natumia AXE but kuna perfume moja nilipewaga zawad na mtu wa ujeruman inaitwa VANITAS, ni balaa, yan had ofisin walijua kama nimespray something new n waliipenda, pia hata ukiifua nguo wakati wa kunyosha kile kiharufu chaja, unfortunately sijawahi kubahatika kuipata madukani hapa dar licha ya kuuitafuta sana na huyo wa ughaibun kasharudi bongo, please kama kuna mtu anaifahamu au anajua inapopatikana please let me know, I am ready to buy at any price less than 150k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…