Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Nilitaka niulize hilo hilo ,naomba nielezee tofauti ya hizo mbili tafadhali sana
Inshot hayo ma eau de toilette ndo yale ukipuliza chumbani ukitoka sebuleni yameisha harufu unaiacha ndani but eau de perfume ukipuliza kwenye nguo hata mwezi unaikuta inanukia tu
 

Nhii nichangamoto sna kutokutuma Africa,nnajamaa yupo us alitaka tufanye hii biashara ya macologne nikaogopa wanunuzi wa hzi vitu kama wachache ila huu uzi umenishawish aise
 
Nhii nichangamoto sna kutokutuma Africa,nnajamaa yupo us alitaka tufanye hii biashara ya macologne nikaogopa wanunuzi wa hzi vitu kama wachache ila huu uzi umenishawish aise
Kama bei ni reasonable kwann tusinunue Wakati mateja wa haya madude tupo wengi
 
Wengi naona mnatumia Eau de toilette badala ya Eau de perfume ndo kusema uchumi umebana au hamjui vitu vizuri
Za wanaume nyingi ni eau de toilette. Za wanawake nyingi ndio eau de perfum ndio maana ziko strong zaidi. Eau de perfum za kiume ni chache sana.
 
Hii ni Thierry Mugler Angel Men (A*Men). Originally ilikua designed mwaka 96 kama sikosei ila wametoa flankers kadhaa baada yake ikiwemo pure malt, pure havane (zote ninazo) etc.

Ila hizi perfumes ni special kwa maeneo yenye baridi mkuu. Kwa joto la bongo zipo cloying kinoma aisee so binafsi sishauri mtu anunue hizi.

Pefrume za Thierry Mugler za kutafuta kwa joto letu hili ni Mugler Cologne, Ultra zest na Krypomint(imetoka juzi juzi nadhani). Ila TM zilizobaki zote ni za winter kali.
 
Inshot hayo ma eau de toilette ndo yale ukipuliza chumbani ukitoka sebuleni yameisha harufu unaiacha ndani but eau de perfume ukipuliza kwenye nguo hata mwezi unaikuta inanukia tu
Sio kweli.
 
Nakubali mkuu.lakin kibongobongo single spray nadunda kibabe na napata compliment za maana.hii kitu iko very sweet.ukitumia vibaya ni karaha
 
Nakubali mkuu.lakin kibongobongo single spray nadunda kibabe na napata compliment za maana.hii kitu iko very sweet.ukitumia vibaya ni karaha
Hahaah! Hapo umetisha mkuu. So true, uki over-spray inakua tabu. Nitajaribu technique yako
 
Hahaah! Hapo umetisha mkuu. So true, uki over-spray inakua tabu. Nitajaribu technique yako
Mara nyingi napenda za winter sbabu zinadum muda mrefu(longitivity).pia kiuchumi naweza tumia zaidi ya mwaka
 
Kama bei ni reasonable kwann tusinunue Wakati mateja wa haya madude tupo wengi
Kiongozi huku kwetu wanatupiga bei sana maana nimemuagizia jamaa sauvage dior bei za wenzetu ni nzur sna tofauti na kwetu
Kwakweli najipanga nimeongea nae kama vipi tupige biashara
 
Kiongozi huku kwetu wanatupiga bei sana maana nimemuagizia jamaa sauvage dior bei za wenzetu ni nzur sna tofauti na kwetu
Kwakweli najipanga nimeongea nae kama vipi tupige biashara
Mkuu ukifanikiwa kuleta tujuzane
 

Kwa wale wanaopenda body spray za bei rahisi.hiyo galaxy s3 performance yake iko poa kwenye nguo(sio ngoz) inadumu zaid ya masaa sita(6+)itafute bei yake kati ya buku 5 mpaka buku 7.

To me it's cheap smell
 
nahitaji perfume ambayo iko chini ya 50K ambayo ukikutana na mtu anasikia tu ubaridi fulani hiv ila ukishampita ndio anasikilizia harufu yake..MSAADA PLZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…