Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Kwa wale wenzangu na mimi tusioweza kununua maparfume ya bei ghali..., aaah mimi natumia kibody spray kangu ka sh. 16,000/= ilivyo ya ukwel sasa hv hadi jasho langu linanukia hii spray bila hata kujipulizia kwa cku 1.

ACTIVELLE

 
Wadau leo nimeagiza mtu hapo mlimani city.amekutana kuna clone za fragrances zenye majina makubwa wanauza kwa code.je kuna mtu amekutana na hii.nimeagiza clone ya aventus nione kama itakua na performance nzuri.ila kama umewai tumia hebu nipen mrejesho wakeHII NDO LIST YA HIZO CLONE KATIKA CODECHUPA YENYE JUICE YA AVENTUS(CLONE) code 4A
 
Duuh... Jamaa hawapo serious, orodha ina typos kibao.
Clone nzuri ya Aventus so far ni Club de nuit intense man ya kampuni la Armaf. Unfortunately kwa bongo wauzaji hawapo (mpaka naanza kuwaza nianze hii business).
Armaf wapo France lakini pia wapo Dubai. Juices zao quality yake ni SUPERB!! Ukipata mtu anayeenda Dubai muagizie tu, hutojutia.
 
Club nuit intense man by armaf nimeshaitumia.aventus sijawai kuitumia.hii sample ya hawa majamaa nimeagiza kesho itafika.so nataka nione kama inakaribiana na club nuit.then nitaleta mrejesho
 
Club nuit intense man by armaf nimeshaitumia.aventus sijawai kuitumia.hii sample ya hawa majamaa nimeagiza kesho itafika.so nataka nione kama inakaribiana na club nuit.then nitaleta mrejesho
Ahaa! Haina mbaya kiongozi
 
Hii Oud ispahan christian Dior DIOR bei gani kibongobongo
 
Mrejesho wa bada ya clone ya creed aventus kufika leo.kwa kuwa nimeshawai kutumia clone no 1 ya aventus pendekezwa ambayo club nuit intense man bya armaf.hii clone ya kibongo bongo hainafanan kabisa na bidhaa waliyocopy.kwa mbaal sana inafanana na UDV.performance ni mbovu kabisa haifikish masaa mawil kwenye nguo.kwa ushauri wangu usipoteze pesa yako hapa
 
Thanks kwa mrejesho mkuu. I hope haijakutoka pesa mingi
 
nahitaji perfume ambayo iko chini ya 50K ambayo ukikutana na mtu anasikia tu ubaridi fulani hiv ila ukishampita ndio anasikilizia harufu yake..MSAADA PLZ
Mkuu tafuta body sprays za smart. Wame mimic perfumes zenye majina makubwa na prices zake, last I checked, ni chini ya mwekundu.
 
ninukie ili iwejeee? mimi nina matumizi mazuri ya pesaaa sitaki ujinga ujinga kama uo....RIGHT?
 
ninukie ili iwejeee? mimi nina matumizi mazuri ya pesaaa sitaki ujinga ujinga kama uo....RIGHT?
Matumizi ya pesa inategemea na kipato chako na majukumu.ila umaridadi uficha mengi.
Mfano mimi nilikua natumia body spray ya buku 5 kwa mwez.ambapo ukipiga hesabu kwa mwaka ni kama elfu 60.je kuna ubaya gan nkinunua perfume ambayo iko classic ambayo naweza tumia mwaka mzima.

Yaan mfano umepanga nyumba ni bora ulipe kila mwez ama ulipe miez sita ama mwaka
 
Ni perfume gani ambayo siyo Kali kwa harufu kwa mtu mwenye allege ya harufu Kali kwa bajeti ya 50,000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…