Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

UDV for men by Ulric de Varens
Udv inakera harufu yake kali sana.unapoingia sehemu harufu ni wewe tu.haina siri hata ukipita mtaa wa saba watajua umepita.Pia inaboa.kwangu mimi ilinishinda sio mikato yangu
 
Udv inakera harufu yake kali sana.unapoingia sehemu harufu ni wewe tu.haina siri hata ukipita mtaa wa saba watajua umepita.Pia inaboa.kwangu mimi ilinishinda sio mikato yangu

Upo right mkuu udv ina harufu kali ila ikishapoa inakua nzuri sana.
 
Ipi kiboko yao
 
Duh hilo ni duka? Mimi sizidishi tano. Sasa hivi nina
1. 212
2.issey miyake
3.ck one
4.tommy hilfiger
5.mj
 
Duh hilo ni duka? Mimi sizidishi tano. Sasa hivi nina
1. 212
2.issey miyake
3.ck one
4.tommy hilfiger
5.mj
Aisee baada ya pombe ulevi wangu wa pili ni perfume!!! nazipenda hasa na nyingine sijaorodhesha hapo.
 
One man show,kama nimeikosa huwa napiga al-hood spray nyigi zinakua ziko poa na pia husawiri ustaarabu wa kimwambao.
 
Mnavojua kuzitaja. Kama mna ela vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…