Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

wana Jf
wakuu naomba kujua
ivi perfum au spray zilizoandikwa for men nikwamba demu hawezi kutumia au
for woman mwanaume hawezi kutumia
 
Wakuu shukrani sana, nimeshajichukulia UDV yangu sasa hvi kikwapa tupa kule..
 
wana Jf
wakuu naomba kujua
ivi perfum au spray zilizoandikwa for men nikwamba demu hawezi kutumia au
for woman mwanaume hawezi kutumia
Za wanawake zina harufu kali hivyo wanaume haifai kutumia. Za wanaume zina harufu imepoa hivyo wanawake wengi wanapenda kutumia.

Hata ukiwa nyumbani umejipumzisha na mpenzi wako mwanamke wako anaweza kuvaa t-shirt yako lakini wewe huwezi kuvaa top yake!
 
pamoja sana mkuu asante kwa darasa
 
This verifies that a woman was brought from a man,[emoji4]
 
Kweli, kuna baadhi ya perfume hapo ninatumia ni mzuri mno.
 
Pamoja na kuwa unanipa heshima sana ila nimeushindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…