Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia




Hiki perfume inaitwaje nimetafuta sehemu nyingi bila mafanikio
Naweza kuipata maduka yepi?
 
wakuu anaejua wap naweza pata hii kitu anisaidie,imeisha na nmeitafta saaana dsm hii nmeikosa
 
Umeushindwa nini?
Baada ya kutumia siku 5.Sikatai imenipa compliment nyingi tu...
Tatizo harufu yake kwangu ni kama ya kiarabu flani hiviii.Pili naona kama inanikera mana haitoki kwenye nguo mpaka uifue ndo ipungue.tatu chumba changu hadi koridon ni harufu.Nne ni kama zile karaha za UDV kila utakapokatiza ni harufu yako tu...Kwa mimi No Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…