Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Nin kilichokushinda kwenye hii product mkuu?
 
Wale Wanaopenda body spray za BEI CHEE hiyo hapo itakupa heshima sana 8hrs+.Tatizo Upatikanaje wake.Ukiipata na mimi nitonye
 
Kweli, kuna baadhi ya perfume hapo ninatumia ni mzuri mno.
Huyo Kaka alivyoandika list ndefu hivyo.Je anauzaaaa.Eti amesema anazo zote jamani.Kuna wakaka Humu JF wanajikwezaaa hatari.Anyway pengine kweli kwa lengo alilotaja
 



Hiki perfume inaitwaje nimetafuta sehemu nyingi bila mafanikio
Naweza kuipata maduka yepi?
Tuambiane Na bei zake Ili MTU unajipanga kabisa Mana zinaomekana ni nzuri sana
 
Jamani Tumimi hutu tu Kitu mimi tunanimalizia tuela twangu mpaka nakoma.
 
Dunia hii bhana kuna vitu vinatupa heshima sana.Hii ni kitu ingine yenye harufu ya upoole!kamwe hauwez ijutia.Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…