Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Kuna ule uturi wanauzaga nje ya misikiti, unapaka kidogo mzigo unaweza ukakaa kwenye nguo hata miezi 6
 

Wwkeni na picha,siyo mnagoogle majina alafu mnatupiga sound..
Zangu hizo hizi hapa.
One million=230,000/=
Scent of Africa for men=110,000/=
 
jamani wadau nataka body spray ambayo iko na harufu nzuri,, ambayo ya kibabe
 
Yaani watu bado wanatumia huu tupafyumu cha rasasi!! Hii kitambo sana! Sisi tupo kwenye 180000 huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…