Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

kwa wapenzi wa pafyum ya Shelis,, hii kitu bei ndogo lakini noma sanaa, ngoja leo nkaichukue
 
Mkuu ungetuwekea na bei ungekuwa umedadavua vyema zaidi.
 
Mi natumiaga vile vya buku buku vyenye kigoroli cha ku -scroll kwenye shati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…