Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Nimetumia perfume miaka mingi. Sasa january this year nikanunua samsung galaxy perfume hyo. Chupa ya kwanza nikamalz nikaleta ya pili nilipata mafua sio ya nchi hii.nikatumia dawa wapi mpka hosp wakaniambia niache perfume .saivi imepita miezi situmii
 
Jamani hii AL FARIS ni ya bei rahisi lakini hutojutia kutumia hata kidogo... Yaani iko bomba mpaka maswali ya "inaitwaje hiyo" yanakuzidi kimo... Jaribuni hiyo kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…