Bei gani mkuu.Botega veneta ndio habari ya mjini,itumie hutojuta haisee,mwaka Wa 18 huu naitumia,asilimia 80% ya wapenz wangu niliwapatia sababu ya perfume2,nakumbuka adi lecture Wa kike alishaniita ofisini nikamuuliza kulikoni akaniambia harufu ya perfume yangu inampa ashki za kufanya mapnz mpka nikaona aibu kumtizama ,hiwezi amini hivi kitu ofisini sasa nisipokuwepo utajua tu,wafanyakaz wenzangu Wa kike wananipenda usipime kisa perfume2 dahaa botega inawatega kweli!! Ijaribuni ndugu zangu japo cjawai kuwaambia marafiki zangu japo wengi walipenda niwaambie jina LA perfume!! Basi Leo nimemwaga mchele sasa,ila kua makini ukishaanza kuitumia kama unadada zako wataitumia iishee maanake wataipenda sana! Weka mbali na watoto Wa kike !? Naweka chini kalamuView attachment 361635
Inauzwaje?Botega veneta ndio habari ya mjini,itumie hutojuta haisee,mwaka Wa 18 huu naitumia,asilimia 80% ya wapenz wangu niliwapatia sababu ya perfume2,nakumbuka adi lecture Wa kike alishaniita ofisini nikamuuliza kulikoni akaniambia harufu ya perfume yangu inampa ashki za kufanya mapnz mpka nikaona aibu kumtizama ,hiwezi amini hivi kitu ofisini sasa nisipokuwepo utajua tu,wafanyakaz wenzangu Wa kike wananipenda usipime kisa perfume2 dahaa botega inawatega kweli!! Ijaribuni ndugu zangu japo cjawai kuwaambia marafiki zangu japo wengi walipenda niwaambie jina LA perfume!! Basi Leo nimemwaga mchele sasa,ila kua makini ukishaanza kuitumia kama unadada zako wataitumia iishee maanake wataipenda sana! Weka mbali na watoto Wa kike !? Naweka chini kalamuView attachment 361635
Abee
Jamani hii shillingi ngapiHii ni nzuri sana View attachment 804942
Leo ni mwendo wa Burberry for men, nimeanza na aftershave, halafu nikai layer na cologne.
Yoyote tu mkuu kikubwa inukie vizuri
Jamani hii AL FARIS ni ya bei rahisi lakini hutojutia kutumia hata kidogo... Yaani iko bomba mpaka maswali ya "inaitwaje hiyo" yanakuzidi kimo... Jaribuni hiyo kitu
Leo ni mwendo wa CAROLINA HERRERALeo ni mwendo wa Burberry for men, nimeanza na aftershave, halafu nikai layer na cologne.
4,000/= tu sasa. maana toka zije EFD, mweh... kila kitu utalipia wewe kodi yake.Sh ngap
Sent from my SM-C7000 using Tapatalk