Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Inategemea lakini na mtengenezaji...hiyo hapo ni ya Lancôme.
Wewe ulitumia ipi?
3B iko very strong na ina stay long.izo ni zile perfume za noise.uko hapa mtaa wa saba unajua.it's too much for meMkuu hii product unaifahamu?View attachment 1249068
Ipi ndo best choice kwako chief3B iko very strong na ina stay long.izo ni zile perfume za noise.uko hapa mtaa wa saba unajua.it's too much for me
Ipi ndo best choice kwako chief
Hii kitu niliwahi kuitumia iko poa sana, ila ilivyoisha nilihangaika sana kuitafuta bila mafanikio ikanibidi niipotezee tu but iko poa sanaAnaejua hii Kitu inapatikana wapi anijuzeView attachment 1253161
Nikaamia humu.Atakaetumia hii kitu hawezi juta, Only 30k.View attachment 1213223
Hizo sijui 3A mara 4 A ndo nini?
Kuna dada wa kiarabu niligusana naye kwenye daladala. Perfume yake imebaki kwa siku 3 mfululizo. Hawa watu wanatoa wapi hizo perfume zao?
Ulijua je in feki wakati INA last. Itafyte inayouzwa na wale jamaa wa kutoka Syria hutojuta 30k na unatoka droo na alienunua 360k
🤣 🤣 Syrian Exhibition ndio pahala pangu pakujidai yaani huwa nanunua za mwaka mzima. ile ya mwezi wa nne ilinipita nikaumia sana alafu mbaya zaidi ndio nilikuwa nimegawa stock niliyo kuwa nayo. uzuri saa hizi wamefungua duka pale mlimani, sina hakika kama zina ubora kama ule ule.fake unakuta kuna kitu wanaongezea ili iweze kutoa ujazo zaidi ambapo itawaletea faida, original hawaidilute na chochote, yah mi naviziaga syrian exhibition diamond jubilee pale ndio nanunuaga