Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Itabidi nifungue kaduka ka perfume dar kwa style hii,SA kuna jamaa wanaitwa Arthur Ford wanatengeneza copy za perfumer original kali balaa. Kwanza nijikusanye ntaleta mrejesho hapa,, .
 
Ndio wapi hapo?
Pole sana mkuu ndio shida ya nchi yetu ...
ndio maana mi naona bora kwenda kwa mu Israel kariakoo za kupima... Perfume super quality.. hautajutia pesa yako.
 
Mi stock changu kinaishia hivyo. Sijui kama. Wale jamaa wanarudi February kama walivyosema

God save us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…