Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Elfu 25
Kama upo dsm kkoo mitaa ya agrey kuna duka kali la hivyo vyombo vy kunukia

Habari kaka. Nataka niende Kariakoo mchana huu, pamoja na mahitaji mengine nahitaji perfume/body spray.
Naona wengi wanazisifia:
Fighting Tempation
Blue for Men

Wewe unanishauri nichukue ipi, kati ya hizo, mfano nikachukua body spray zake tu itakua fresh?
Nielekeze hilo duka mkuu kama unaweza. Asante
 

Hapa nilipo ungekuwa karibu yangu ungeisikia harufu lainii na nyoororo ya Blue 4Men,yani haichoshi kuisikia na haimtii jirani yako kero kama ana shida ya kukaa karibu na manukato bahati mbaya upo mbali.

Tsh 25,000/= tu inakutosha kumkamata huyu mnyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimechelewa kuuona ujumbe wako huu
Ila alieanza kukujibu hajakosea hapo juu
Blue4Men iko vizur zaidi, nadhan utakua ulienda na umeshaichukua.

Hyo fighting temptation ni nzur pia ila ina ukali fulan, ukijipuliza sana unajikuta unaamsha mafua kwa mweny aleji ila nayo iko vizur.

Ila Blue4men ni noma zaid, iko poa.
 
Watu wa dizaini yako wanahitaji usafi wa hali ya juu bila hivyo utanuka mavi [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Unatafuta promo kupitia me? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watakufuata tyuuuh wahusika wako, poleeeeeeh sanaaaah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…