Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Ivi hamna wajasiliamali bongo wa kuzitengeneza maana kwa hio bei sio poa.
 
Nishaacha kutumia pafyum zina harufu kali sana. Natumia deodorant inaitwa playboy. Bei chee tu 6000
 
Mkuu hizi ni bei za online shop au maduka ya hapa bongo?
 
Eh[emoji44][emoji44][emoji3577][emoji3577][emoji1787][emoji1787]

Natafuta hizo
 


Wapenda makeup,perfume original tu piga hii namba +255 783 612 822 uhudumiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…