AXE BLACK iko POA sana, ndo ninayotumia.Axe na sweet desire
Hizi bei ghali sana hatakama original..mimi natumia SAUVAGE nimenunua 35k... Inakaa kwenye nguo muda mrefu...na inanukia vzuriDior sauvage 368,000/=, pheromones 310,000/=, one million ya paco rabane 150,000/=, blue de channel 350,000/=, channel no5 300,000/=,ultramale ya jean Paul gaultier 100,000/=, Salvatore ferragarno120,000/=,lacoste noir intense 190,000/= I cannot count how many times I have been stopped and asked what iam wearing(smelling), been told I smelled like heaven siku hyo nilipulizia perfume inayoitwa stronger with you ya emporio armani yaani you smell sexy,mascular, fresh and sweet, niliinunua napoli mwaka jana kama Euro 160, nilipokuja padre mmoja hv akaing'ang'ania nikamwachie, kuna perfume ambazo hata ulaya ni expensive mf creed aventus
Ulinunua wapi?Hizi bei ghali sana hatakama original..mimi natumia SAUVAGE nimenunua 35k... Inakaa kwenye nguo muda mrefu...na inanukia vzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo ktu ya kibabe mno
Noma sanaaa....
WapiGuys kwa wale mnaoitaj maoneshp ya Wasiria mda ndo huu. Yameanza 29/8 mpaka 14/9/2020
Nahitaji hio olympea naipataje dada yngWewe na Nyani Ngabu..........mmefanya thread inukie sana.......
Ngoja nami niongezee unyunyu.........
BeiBotega veneta ndio habari ya mjini,itumie hutojuta haisee,mwaka Wa 18 huu naitumia,asilimia 80% ya wapenz wangu niliwapatia sababu ya perfume2,nakumbuka adi lecture Wa kike alishaniita ofisini nikamuuliza kulikoni akaniambia harufu ya perfume yangu inampa ashki za kufanya mapnz mpka nikaona aibu kumtizama ,hiwezi amini hivi kitu ofisini sasa nisipokuwepo utajua tu,wafanyakaz wenzangu Wa kike wananipenda usipime kisa perfume2 dahaa botega inawatega kweli!! Ijaribuni ndugu zangu japo cjawai kuwaambia marafiki zangu japo wengi walipenda niwaambie jina LA perfume!! Basi Leo nimemwaga mchele sasa,ila kua makini ukishaanza kuitumia kama unadada zako wataitumia iishee maanake wataipenda sana! Weka mbali na watoto Wa kike !? Naweka chini kalamuView attachment 361635
nijuze pafyume ya around 30,000Bei inategemea na mfuko wako ww niambie uwezo wako nitakutajia perfume nzuri.
Utagonga sana watoto, mm sitongozag ni usmart tu nakunukia nikiomba namba sinyimwi, juzi nimegonga mmaza mmoja hv alianza kunishobokea cjui unafanya kaz wap nikamwambia mission town tu akasema hapana kla sku uko smart na unanukia vizur mm napenda wanaume kama ww kilichofuata ni kutafunwa,hapa ninapoishi ni wengi ila cpend kuwa na wanawake ninapofanyia kazi na mazingira ya kitaani kwetu coz cpend vurugu
nijuze pafyume ya around 30,000
Diamond jubileeWapi
AsanteDiamond jubilee