Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Ni perfume/body spray gan yenye smell nzuri ambayo mixing yake ina rose flower au vanilla kimoja wapo ndan yake wajuzi nitajieni tafadhal
 
Kama hutojali sana kanunue sansiro perfume code "K1" itakupa vanila, ujazo ni kutokana na mfuko wako either uchukue kama ki pen ili utest..ni around 2500 tu
 
vdude vnanistiri hivi kam sna hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...navinunua kma vinne hiv nkitoa 10,000 halaf nkachangany codes...nkachkuw k1, nkachanganya na code 656...kudadeki....sio kwa knukia huko....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vinasaidia sana asee..m656 ni invictus na hua inanukia vizuri sana man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…