Tujuzane!! Benki ikifilisika au kuungua moto wateja waliohifadhi hela zao inakuwaje??

Umesoma hadi darasa la ngapi? kwa faida yako - Bank huweka dhamana BOT(BANK KUU YA TANZANIA) - Hawaruhusiwi kua na hela inayozidi kiwango hicho cha dhamana Tofauti kati ya bank zawa na ya kigeni ni gharama unazotozwa za kuhudumiwa bank Mfano: Eco-Bank wameingia na wamecut market price kwa huduma mbali mbali wanazotoa ili wateja kama ww mkimbilie huko -
wewe umesoma mpaka darasa la ngapi?
 
Mkuu majany umejibu vizuri sana, sema umetumia maneno ya kitaalam zaidi. Hoja ya mwanawao inamaana japo wengi wetu huwa hatupendi kuuliza vitu hata kama hatujui kwa kuona aibu.

Kwa uelewa wangu ni kwamba, benki inapopewa kibali cha kuendesha biashara huduma za kibenki nchini na BoT, huwa wanatakiwa kuweka kiwango fulani cha fedha BoT, hii ni pesa ambayo hawawezi kuichukua. Na BoT hufuatilia mwenendo wa benki husika na kuitaka iongeze kiwango hicho kutokana na fedha za wateja wake.

Kwa mantiki hiyo kiwango cha hiyo akiba hutofautiana kutoka benki moja hadi nyingine kutokana na kiwango cha fedha walizonazo na ukubwa wa benki.

Na jambo la pili, benki zinakua insured, na hawatakiwi kuwa na kiwango zaidi ya kile ambacho wamekubaliana na kampuni ya insurance na vilevile BoT wanakagua kuona hivyo viwango vinazingatiwa. Ndio maana kila mara utakuta mabenki yanaenda kuweka na kutoa hela BoT. Ni kosa benki kuhifadhi fedha zaidi ya kile ilichopangiwa au kukiwekea insurance.

Hadi hapo nadhani kama benki itapatwa na majanga, wateja wao wanakuwa na uhakika wakupata fedha zao.

Nadhani imeeleweka hata kama sio kwa kiwango ambacho muuliza swali alikitarajia, nadhani wadau wengine wataongezea.

Be blessed

Nafikiri wewe ni good Samaritan. Kwa upande wangu nahisi nimekuelewa. Japokuwa nimebaki na utata kidogo. Inavo onesha matumaini ya hizi bank ndogondogo yapo BoT sasa napata wasiwasi endapo tatizo alilotaja mleta mada litatokea BoT inakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimepata concern yako;katika mabenki asilimia kubwa vitu viko structured.Kwa kuanzia,kwenye benki kuna kitu kinaitwa SMR,STATUTORY MINIMUM RESERVE,hii huongezeka kadiri BOT wanavyoona.Kwa mfano BOT waliongeza SMR ya bank kwenye government deposits mpaka 30% of the deposits.(Hii ina maana kama benki wanazo government deposits za 10 Mil,wanalazimika kupeleka BOT 3M kama Statutory Minimum Reserve)...Hili ni la kwanza.
Pili,Kuna kitu kinaitwa DEPOSITORS INSURANCE BOARD,hii iko chini ya Mr.Marisa wa pale BOT,lakini so far,Hii insurance board inao uwezo wa ku'refund 1,500,000 flat kwa wahanga wa benki iliyofilisika.The rationale beyond this ni kwamba wanaamini depositors wengi ni wadogo wadogo,na resarch iliyofanyika inadai kwamba ukilipa maximum ya 1,500,000 utaweza kulipa more than 85% ya depositors wote in full....Una swali??

Mkuu ushawah kuisikia Greenland Bank? Ilikua hapo Ohio ikafilisika, uliza tulilipwa kiasi gani. Benk wezi tu mi mpaka leo hela ndefu siweki Benki ng'o.,..bora nizifukie
 
BOT kazi yao kubwa ni ku-monitor Banki zote ili kuona kama kuna hatari yoyote ya kupoteza fedha za wateja. Kwa hali hiyo BOT mara nyingi wanachukua usimamizi wa Benki kila wakiona dalili mbaya ya benki kufilisika ambayo ndiyo mbaya kuliko ajali ya moto.
BOT wanayo kiwango cha juu cha kulipa ikitokea hali kama hiyo, hila mara nyingi wanachukua usimamizi mapema kabla ya kufilisika kabisa hivyo wanatumia fedha watakazookoa pamoja na madai ya benki hiyo kwa waliokopa kuongezea juu ya kile kiwango cha juu cha kulipa, hivyo wateja wengi wa kawaida maranyingi fedha zao urudi lakini risk still there ndiyo maana unajaza mkataba wa kukubali risk hiyo unapofungua akaunti.
 
Hata mimi alivyoaanza kujibu kwa kuuliza elimu ya mtu ameniudhi, Sijui yeye ni darasa la ngapi angalia hata kiswahili alichoandika kwenye red.

Umesoma hadi darasa la ngapi? kwa faida yako - Bank huweka dhamana BOT(BANK KUU YA TANZANIA) - Hawaruhusiwi kua na hela inayozidi kiwango hicho cha dhamana Tofauti kati ya bank zawa na ya kigeni ni gharama unazotozwa za kuhudumiwa bank Mfano: Eco-Bank wameingia na wamecut market price kwa huduma mbali mbali wanazotoa ili wateja kama ww mkimbilie huko -

Sina uhakika kama unarudishiwa fedha zote, historia inaonyesha kuwa Benki ikifilisika unarudishiwa fedha nusu. Bank moja iitwayo Meridian, miaka ya themanini au tisini mwanzoni sina kumbukumbu vizuri, ilipofilisika wateja walilipwa na Benki Kuu nusu ya fedha zao.
 
Wakuu, nawashukuruni sana kwa kutokuwa na choyo ya ku-share idea zenu katika mada hii. Nimepata knowledge angalau sasa. Pia nilifikiri ni mimi mwenyewe nilikuwa na tatizo hili kumbe tupo wengi. Na matumaini yangu kupitia mjadala huu wengi wetu ambao hatujasoma account & finance tumepata angalau ka- knowledge..
 
Mkuu ushawah kuisikia Greenland Bank? Ilikua hapo Ohio ikafilisika, uliza tulilipwa kiasi gani. Benk wezi tu mi mpaka leo hela ndefu siweki Benki ng'o.,..bora nizifukie

Nilikuwa nascroll down kuona kama kuna mtu amegusia hili jambo.
Historia ya nchi ina kumbukumbu ya GreenLand Bank, Ilikuwa opposite askari Monument, pale ilipo Tanzania Postal bank Sasa hivi... Hii bank ilicollapse na Waliokuwa wameweka fedha pale walilia na kupiga mayowe weeee, lakini hakuna kitu walichoambulia (zaidi ya vifuta jasho)....

Kifupi Mfumo wa Kibenki wa kibepari ni wa kibeberu sana, Na unaangalia maslahi ya Matajiri wenye benki zao tu. Inapotokea incident ya kufilisika Mteja hata kama ulikuwa na Bilioni Moja kwenye ac, utapewa kiwango ambacho sheria za nchi husika zinaruhusu kwa mfano Tanzania ni 1.2m kama walivyochangia wadau hapo juu... Sina uhakika kwamba hela zinavyozidi kuwa nyingi na kiwango kipanda au la...
Nchi kama UK, Kiwango cha kurudishiwa ni £35,000 tu... Ndio maana Watu wengi wenye uelewa na mambo ya kibenki hawaweki hela zao in Hard Cash, wanainvest sehemu mbali mbali ili kuspread risk. Ukimkurupua mtu kama Bill gates, unaweza kushangazwa na kiwango cha pesa halisi alichonacho kwenye ac zake zote. na ndio maana watafiti wa utajiri wa watu kama forbes huwa wanatumia terms '' He/she is Worth'' kadha wa kadha, na hawasemi He/She Has kadha wa kadha amout of money.

Kifupi FEDHA KUWA BENKI Ni SALAMA Kwa matukio hatari kama Wizi, Ujambazi, Moto nk, na si kwa KUFILISIKA. Fatilia Northern Rock na Community Banks za UK na Marekani zilivyokumbwa na credit crunch wateja walilipwa nini.

Kuhusu kuungua Moto au kuvamiwa na majambazi nk, Haya sio majanga makubwa ya kusababisha wateja kupoteza pesa zao... Kuna vitu kama Bima vinasaidia hapo. Unless hiyo bank iwe na branch Moja tu.
 
Mimi mwenyewe binafsi nililipwa 250,000 tu wakati ule! Ndio ilikua flat rate hiyo na wakati nilikua nazo zaidi. Nakwambia mi nakaa nazo ndani ama ninunue assets tu sio Bank.
 
Thanks Mkuu nimekuelewa zaidi. Kwa mantiki hii ni bora kuwekeza hela zako kwenye assets badala ya kuziweka bank. Na hii itasaidia sana kupunguza risk zitakazoweza kujitokeza.
 
Mimi mwenyewe binafsi nililipwa 250,000 tu wakati ule! Ndio ilikua flat rate hiyo na wakati nilikua nazo zaidi. Nakwambia mi nakaa nazo ndani ama ninunue assets tu sio Bank.

Kwa mfano hai kama wa kwako hamna ubishi, kuwekeza hela yako kwenye assets ni muhimu zaidi kuliko kuziweka bank.
 
Nilikuwa nascroll down kuona kama kuna mtu amegusia hili jambo.
Historia ya nchi ina kumbukumbu ya GreenLand Bank, Ilikuwa opposite askari Monument, pale ilipo Tanzania Postal bank Sasa hivi... Hii bank ilicollapse na Waliokuwa wameweka fedha pale walilia na kupiga mayowe weeee, lakini hakuna kitu walichoambulia (zaidi ya vifuta jasho)....

Kifupi Mfumo wa Kibenki wa kibepari ni wa kibeberu sana, Na unaangalia maslahi ya Matajiri wenye benki zao tu. Inapotokea incident ya kufilisika Mteja hata kama ulikuwa na Bilioni Moja kwenye ac, utapewa kiwango ambacho sheria za nchi husika zinaruhusu kwa mfano Tanzania ni 1.2m kama walivyochangia wadau hapo juu... Sina uhakika kwamba hela zinavyozidi kuwa nyingi na kiwango kipanda au la...
Nchi kama UK, Kiwango cha kurudishiwa ni £35,000 tu... Ndio maana Watu wengi wenye uelewa na mambo ya kibenki hawaweki hela zao in Hard Cash, wanainvest sehemu mbali mbali ili kuspread risk. Ukimkurupua mtu kama Bill gates, unaweza kushangazwa na kiwango cha pesa halisi alichonacho kwenye ac zake zote. na ndio maana watafiti wa utajiri wa watu kama forbes huwa wanatumia terms '' He/she is Worth'' kadha wa kadha, na hawasemi He/She Has kadha wa kadha amout of money.

Kifupi FEDHA KUWA BENKI Ni SALAMA Kwa matukio hatari kama Wizi, Ujambazi, Moto nk, na si kwa KUFILISIKA. Fatilia Northern Rock na Community Banks za UK na Marekani zilivyokumbwa na credit crunch wateja walilipwa nini.

Kuhusu kuungua Moto au kuvamiwa na majambazi nk, Haya sio majanga makubwa ya kusababisha wateja kupoteza pesa zao... Kuna vitu kama Bima vinasaidia hapo. Unless hiyo bank iwe na branch Moja tu.

Naona hatimae kimewanukia watu wa hizi benki 5 zilizofutiwa leseni leo.....Nini hatma yao
 
Jammy forum ni zaidi ya elimu,asanteni kwa kuchukua muda wenu kutoa mchango nimjua mambo mengi
 
Samahani kidogo wandugu kama nimeubaka huu uzi....ila na mimi ningependa kuondolewa huu ujinga.........

Ningependa kujua kuwa inakuwaje mpaka benki inafirisika....yaani ni mechanism hipi hutokea hapo......!!?
 
Back
Top Bottom