Mkuu kuna uzi humu unaelezea hayo mambo jaribu kuutafutaSalaam kwenu wana jamvi
Naomba wenye uzoefu na biashara za daladala kwa mikoa ya dsm, dodoma , na mwanza mtupe uzoefu wenu. Route gan nzur , gharama za uendeshaji, changamoto ktk biashara hii, mtaji kiasi gan kuanzia, mwisho makadirio ya faida kwa siku au we
Asante kwa mchango wako. Kwa kuwa bado mm ni kijana nguvu ninazo niko tayar kuwa na dreva kama msaidiz wake japo sitajiexpose kama mmilik wa chombo wakati napata uzoefu kwa kuingia barabarani.Ni biashara nzuri na ina pesa ila, narudia tena ila iyo biashara Mchawi ni mmoja tu dereva. Yan haina tofauti na mapikipiki. Matatizo ni madereva utaiuza siku si nyingi gari. Inaumiza kichwa na inataka uwe mjeuri kweli kwelikwa dereva.
Sasa unasumbuliwa hesabu alafu gari inalala, gereji kunahtaji kifaa cha laki 6 plus. take it from me utalia lakin yote katika yote hakuna biashara mteremko.
Wengine tushazoea tunakufa nayo.