Tujuzane gharama/changamoto za biashara ya usafirishaji Daladala

Tujuzane gharama/changamoto za biashara ya usafirishaji Daladala

M2pc

Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
89
Reaction score
58
Salaam kwenu wana jamvi,

Naomba wenye uzoefu na biashara za daladala kwa mikoa ya Dar, Dodoma na Mwanza mtupe uzoefu wenu.

Route gani nzuri, gharama za uendeshaji, changamoto katika biashara hii, mtaji kiasi gani kuanzia, mwisho makadirio ya faida kwa siku.
 
Salaam kwenu wana jamvi
Naomba wenye uzoefu na biashara za daladala kwa mikoa ya dsm, dodoma , na mwanza mtupe uzoefu wenu. Route gan nzur , gharama za uendeshaji, changamoto ktk biashara hii, mtaji kiasi gan kuanzia, mwisho makadirio ya faida kwa siku au we
Mkuu kuna uzi humu unaelezea hayo mambo jaribu kuutafuta
 
Ni biashara nzuri na ina pesa ila, narudia tena ila iyo biashara Mchawi ni mmoja tu dereva. Yan haina tofauti na mapikipiki. Matatizo ni madereva utaiuza siku si nyingi gari. Inaumiza kichwa na inataka uwe mjeuri kweli kwelikwa dereva.

Sasa unasumbuliwa hesabu alafu gari inalala, gereji kunahtaji kifaa cha laki 6 plus. take it from me utalia lakin yote katika yote hakuna biashara mteremko.

Wengine tushazoea tunakufa nayo.
 
Asante kwa mchango wako. Kwa kuwa bado mm ni kijana nguvu ninazo niko tayar kuwa na dreva kama msaidiz wake japo sitajiexpose kama mmilik wa chombo wakati napata uzoefu kwa kuingia barabarani.
 
Back
Top Bottom