Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Habari za kushinda wakuu.
Uzi huu nataka tujuzane je, ni mkoa gani wenye wasanii wengi hapa Tanzania? Hapa naongelea wasanii wote kuanzia waigizaji, waimbaji na wachekeshaji. Je, itakuwa mkoa gani unaongoza hapa Tanzania. Tunaweza saidia kutaja wasanii na mikoa watokayo ili tufahamu zaidi.
Kwa mfano mimi ninao fahamu kwa kila mkoa ni;
Arusha- Nikki wa pili, Mara- Nikki Mbishi, kilimanjaro- Vanessa Mdee, Tanga- Romma mkatoliki, Mwanza- Fid Q, Kagera- Saida karoli, Shinyanga- Lady jayde, Geita- Magambo, Dodoma- Ben paul, kigoma- Baba levo, Mbeya- Rayvanny, Njombe- B2k, Mtwara- Harmonize, Morogoro- Stamina, Ruvuma- Brother K, Tabora- Shilole, Pwani- Maarifa, Dar es Salaam- Dully Sykes.
Na mikoa mingine pia, unaweza ongeza wasanii wengine na mikoa watokayo ili tujue wapi kuna wasanii wengi.