Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?


☝☝☝salmon ya Kijapani

☝☝☝啤酒鱼(carp yenye pombe)

☝☝☝水煮鱼(grass-carp yenye mafuta)
 
Huwa nasikia mgebuka ni mtamu sanaa. Sijawahi kumla nitamuonja siku moja nione.
Ila mgebuka wanasema wenyewe watu wa Kigoma upate yule fresh aliyetoka kwenye maji siyo samaki aliyekaa kwenye mafriji wiki


Wapo watamu zaidi ya huyo katika Ziwa Tanganyika, mfano yupo Kuhe na Singa.
 
mimi huenda sokoni kununua carp au grass-carp...je Watanzania hula carp? ni samaki wa kawaida hapa China. nenda supermarket ya China, huko labda utakuta carp na grass carp.

WHAT? CARP! HACK NOP! TOO MUCH OIL LIKE SALMON BESIDE, TOO MANY BONES
I PREFER WALLEYE BONELESS FILLET WITH WHITE COLOR,
CARP FOR CHINKY, THEY EAT EVERYTHING FLY AND WITH FOUR LEGS EXCEPT AN AIRPLANE AND DINING TABLE
 
Hivi carp ndo sangala?

NO WANAFANANA KIMUONEKANO, ASIAN CARP HAWANA HARUFU YA SAMAKI KAMA SAMAKI WENGINE WALIVYO THAT WHY WATU WA ASIA HUKO WANAWEKA VIUNGO VINGI KWENYE HUYU FISHI COZ HANA HARUFU YA SAMAKI
PILI WANA MIBAA BALAA, YAANI KILA KONA NI MIBA TU

 
Salam kwenu.

Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua

Je, ni samaki gani MTAMU kuliko wote? MTAJE!
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
Kuna samaki anaitwa Kuhe. Anapatikana ziwa Tanganyika hasa maeneo ya Miyobozi kama unaenda Ilagala. Kwangu mm huyo ndiyo samaki mtamu sana duniani☺
 
Salam kwenu.

Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua

Je, ni samaki gani MTAMU kuliko wote? MTAJE!
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
Mbofu, nghuyu na nembe
 
Samaki watamu utawakuta maji baridi,hasa wilayani kyela. Kuna
1. Mbagale nafikiri anapatikana ziwa nyasa tu.
2. Ngolokolo (hawa ni wadogo wadogo) watamu balaa.
3. Mbelele-huyu wengi wanaweza wakawa wanamfahamu
4. Mbasa. Huyu ni samaki mkubwa analiwa mpaka utumbo
5. Ndio wapo wengine Ngosyola,mbufu.
N.B hawa samaki nafikiri wanapatikana ziwa nyasa tu mito yake
 
1.Sangara 2.Sato 3.Kuna Samaki mmoja niliwahi kula maeneo flani hivi Uvinza tulikuwa tunaita Samaki umeme,na wana umeme kweli maana walikuwa wanawapitisha wakiwa wametolewa ngozi ya nje ambayo ndio inasemekana ina moto......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…