Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

Huwa nasikia mgebuka ni mtamu sanaa. Sijawahi kumla nitamuonja siku moja nione.
Ila mgebuka wanasema wenyewe watu wa Kigoma upate yule fresh aliyetoka kwenye maji siyo samaki aliyekaa kwenye mafriji wiki
KIGOMA kuna kuku wa ziwani anaitwa KUHE mtam balaaa ndugu zangu wa kigoma wanajua hili
 
ni ya kweli carp mwenye miba mingi.
lakini sivyo Wachina wote wanawapenda kwa wale wanaopenda, carp kutokana na Mto Mississippi ni ya bei ghali kabisa.lakini sipendi carp hata kidogo...
Wachina tunapenda kula almost chochote ila tunakula vile ambavyo tunavipenda...kwa sababu ya historia ndefu ya kupika. karibu hapa China kujaribu unavyopenda
Chura vipi? Nasikia pia mnakula.
 
Mbasa wa ziwa nyassa ambaye amefikisha saizi kubwa km ya kilo nne hivi
 
baadaye nitawaambieni namna ya kupika samaki yenye mafuta na pilipili. tafadhali jaribu jaribu! ni mtamu sanaaaa
 
Back
Top Bottom