Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

Mgebuka akipigwa roast ni tamu mno kwa pembeni ugali wa rowe. Full kujilamba yaani.
 
mimi huenda sokoni kununua carp au grass-carp...je Watanzania hula carp? ni samaki wa kawaida hapa China. nenda supermarket ya China, huko labda utakuta carp na grass carp.
Mkuu upo china au hapo bongo
 
Salam kwenu.

Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua

Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
Kuhe.
 
1.Sangara 2.Sato 3.Kuna Samaki mmoja niliwahi kula maeneo flani hivi Uvinza tulikuwa tunaita Samaki umeme,na wana umeme kweli maana walikuwa wanawapitisha wakiwa wametolewa ngozi ya nje ambayo ndio inasemekana ina moto......
3. Nyika
 
Back
Top Bottom