Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Km unataka kufungua biashara Tandale kwa tumbo na uswahil haswa ww fungua tu hiyo biashara alafu jion piga mahesabu uone km yatakuja sawa ndo utajua inanafasi gani uchawi
Mkuu kila mmoja na njia zake za kufikia mafanikio km vp ikiwa muislam
Mwite sheikh apige kisomo anza biashara km mkristo piga dua anza kazi km uko uswahilini usijiangaishe mtafute kalumanzila aeke mambo sawa
Biashara nyingi uchawi unahusika kwa namna moja au nyingine MAJUZI KATIKA TAFUTA YANGU UJUZI ILI NIZAME KWENYE KISIMA HIKI CHA BIASHARA nikaishiwa nguvu kitendo cha kuambiwa ni lazima uende kidogo kwa babu avute wateja HIZI IMANI ZIPOJE
MAKAZINI UCHAWI
BIASHARA UCHAWI ina maana kazi na biashara haiendi bila uchawi NDUGU YANGU WORK MATE KAFUNGUA BUCHA fasta kwa mganga eti zindiko na kukwepa chuma ulete why TZ au hata Bakhressa pale alipofika ametumia hizi nguvu za kichawi TUJUZANE NAJUA MPO kama huyu jamaangu
LABDA NIPO USINGIZINI ACHA NIENDELEE KULALA
kama uchawi ungekuwa unalipa tungekuwa nchi amabyo ingeongoza kwa uchumi nadhani ni Nigeria kwa dunia nzima muhimu ni juhudi na maarifa usiamke baada ya wateja kuamka amka kabla ya wateja kuamka , chunga kauri za kufunga biashara yako mfano "mteja anauliza una sabuni ya Ayu ? wewe unamjibu mbona zimeacha kutumika miaka mingi sasa hapo unaua biashara yako.
Na ndio maana nikasema ingekuwa na nguvu tungekuwa tunafanikiwa. Timu zetu za mpira zinasifika kwa ushirikina lakini wanafika wapi?asante mkuu upo sawa ingawa hii imani imeua sana utendaji wetu maana wengi wameegemea huko badala ya kuwaza kusonga mbele kibiashara hapo bold NDIPO TATIZO LILIPO USINGEKUWA NA NGUVU WASINGEKUWA WANAENDA KUUTAFUTA
.....kariakoo yote kwa jumla inanguvu Kali sana za Giza za kufikia 10,000MEGAWITCH.