Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Kuna center nimeiapata ipo stendi, karibu na shule mbili na ofisi za serikali za mitaa...hapo vipi?Jambo la muhimu: Location, location, location. Ukipata karibu na mahali ambapo watu wanakuja kupatiwa huduma zinazohusiana na mambo ya stationary itakuwa safi sana. Tafuta location nzuri. Mengine wadau watakuja kuongezea.
DodomaMkoa gani?
Kwa kweli mkuu. NitazingatiaOf course location kwenye biashara ya stationary ni jambo la muhimu sanaa pia kuangalia poplation ya watu waliokuzunguka kujua hari yao na kipato chao.....usije kuanzisha stationary afu purchases zikawa za galama kuzid kipato cha watu waliokuzunguka!