Official Ric
Member
- Jun 20, 2024
- 31
- 75
Habari zenu wanajukwaa,
Lengo la huu uzi ni kupeana Connection nje ya nchi hususani Fursa za kazi na ushauri kwa watu ambao wameshaishi nje ya nchi na ambao wako nje ya nchi
Kwa hiyo kwa wale wenye michongo nje ya nchi basi tupeane coz humu JamiiForums kuna Diaspora wengi tunaweza saidiana labda na sisi tulioko ndani ya nchi tutoke tukatafute maisha nje ya nchi
NB: Ushauri wako ni Muhimu kumsaidia huyu kijana mwenye ndoto za kuondoka nyumbani na kwenda kutafuta maisha na pia connection yako ni ya mihimu kumtoa huyu kijana mwenye hizi ndoto lakini pia unaweza kutukosoa kama unahisi hatuko sahihi.
SAMAHANI KWA UANDISHI MBOVU