Wa Moshi tufike maduka ya chini barabara ya KCMC kuna kitimoto matata sana.
Pale unapiga simu unaweka odapale tatizo lake huwa ukifika unakuta hata oda 4 jikoni hivyo inabidi usubiri ila msosi wao ni mtamu nimewahi kula pale.
Too much spices maviungo mpaka uhiai kama ni kitimoto.....Kazimoto Pork ni hatari[emoji39][emoji39] Tabata hiyo
Ikwapi mkuuHawaii na Luddi's Farm ndo sehemu pekee nimekula kitimoto choma mpaka nikapiga saluti.
Umefika kwa ''mlay'' kweli wewe au unaongea tuWa Moshi tufike maduka ya chini barabara ya KCMC kuna kitimoto matata sana.