Double wallet kwanza hapo kirumba au The joint isamiloPamoja na kuwa tunaandamwa sana na thread za kutishia afya zetu kisa kula nyama yetu pendwa, mimi kama mdau nashauri tuwapuuze tu na zaidi tufahamishane maeneo inapopatikana kirahisi popote Tanzania ili wadau tupate urahisi wa kufika na kusuuza roho.
Mimi kwa hapa jiji la Makondakta napendelea kwenda kwa "RAS" mitaa ya Mikocheni ama hapo Kontena CCM kama unaelekea hospital ya Kairuki ukitokea Victoria Mikocheni. Karibuni.
Mi maeneo hayo? Naona uliamua kukaa karibu na kijiwe kabisa😂karibu na gheto kwangu kwa zamani
Yaah si hapo karibu na kwa mabeyo, hapo tunakunywaga bia huku tunalindwa na defender 🤣Mi maeneo hayo? Naona uliamua kukaa karibu na kijiwe kabisa😂
Uko wapi boss ikufikieNna hamu sana ya kula kitimoto leo, kitimoto nusu ndizi mbili
Ya ukwl sanahapo nimekula sana mdudu...vamponji longtime kwenye game
Kazimoto porkKuna chimbo huku tabata hata jina lake silijui,.lol
Hapo Double wallet na the joint hamna kitu nitafte siku moja nikupeleke Maduka Tisa kwa BIGDouble wallet kwanza hapo kirumba au The joint isamilo