Tujuzane madhaifu ya MO SIMBA AWARDS

Mimi nilikellwa na utaratibu wa kialika naona kama "siasa" inataka kumzidi nguvu Mo.. ajitahidi kuwa mbali na siasa na asikubali wanasiasa kumuingilia kupita migongo ya baadhi ya watu wachache..atambue kuwe wanasiasa wanapenda sana kutijokeza chakula kikishapakuliwa na sio wakati wa kupikwa....vile vile japo sina uhakika pia ajaribu kuangalia watu wa mpira ndio wawe wengi sio wakina Mobeto na wengine wavua vichupi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…