3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Kabisa mkuu... hapa captain msaidizi hakutendewa hakiKwanye washiriki wa tuzo ya beki Bora Kapombe hayuko uwanjani muda mrefu ...badala yake angekuwa mohamedi Hussein.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu... hapa captain msaidizi hakutendewa hakiKwanye washiriki wa tuzo ya beki Bora Kapombe hayuko uwanjani muda mrefu ...badala yake angekuwa mohamedi Hussein.
Kweli.. japo bocco nae si habaKagere alitakiwa apate tuzo tatu
Kweli kabisa mkuuSikatai hili, nakubaliana nawe mshambuliaji sio kufunga tu, ila sema wewe kwa kipi bocco alimzidi kagere kwa msimu huu, hiyo moja.
Pili! Hushangai mchezaji bora wa klabu, ambae nae ni mshambuliaji, awe mchezaji bora wa klabu ila si mshambuliaji bora, km bocco kamzidi kagere na kuwa mshambuliaji inakuwaje azidiwe na kagere kuwa mchezaji bora kwa ujumla.
Ushawahi kuona wapi T.O anakuwa kaongoza kitaifa ila kwenye shule yake yeye asiwe wa kwanza.
Hizi tuzo walikuwa wanapewa tu au kutokana na kura za mashabiki?Nyoni nusu msimu majeruhi anamzidi vp Wawa
Wazo zuri sana ila dah wewe ni yebo fc, unaweza kua na agenda yakoNi wazo zuri. Ziitwe Simba awards.
Simba ni kampuni na mmiliki anaweza kubadilika.
Kamati ilitakiwa wafanye kwa weledi. . Ile ya player of players ndio ilimfaa Nyoni . Maana ni comedianHizi tuzo walikuwa wanapewa tu au kutokana na kura za mashabiki?
Nimeongea kama shabiki wa mpira. Tuache kushabikia personality cults. Tusiabudu watu awe Mo au Manji.Wazo zuri sana ila dah wewe ni yebo fc, unaweza kua na agenda yako
Mshambuaji bila kufunga unamanisha LUKAKU ama....??.[emoji2] [emoji2] [emoji2]mshambuliaji sio kufunga tu kaka
Blunder za Dj martin.Yataje
Acha Wivu mkuu ndio maana mnajiita Mabingwa sijui Mabingwa wa nini wakati Bingwa ni mmoja tu.Simba sports club.Habari za wakati huu wana jamvi
Jana kulikua na tukio kubwa sana la ugawaji wa tuzo za wachezaji waliofanya vizuri katika timu ya Simba Sports Club
Ikumbukwe tuzo hizi zinafanyika kwa mara ya pili kwa maboresho makubwa tofauti na za mwaka jana ambazo zilikua ndo za kwanza
Kwanza nichukue nafasi hii kuupongeza uongozi wa Simba na wale wote waliohusika na kuandaa tuzo hizi ili kutambua mchango wa wachezaji katika timu ya Simba SC
Lakini kama kawaida kila tuzo hazikosi kasoro isipokuwa kwenye tuzo zenyewe basi zitakua kwenye uandaaji wa tukio lenyewe
Binafsi kwenye tuzo naona waliopata walistahili lakini kwenye suala la aundaaji wa tukio ndo nimeona kasoro kidogo
1:Tuzo ya aina moja kwenye vipengere vyote.
Binafsi kwa ufuatiliaji wangu kwenye masuala ya tuzo sijawahi ona kila kipengere kina aina moja ya tuzo yaani tuzo ya mchezaji bora inafanana na goli bora na ya tuzo ya heshima?
Nadhani haya mambo yapo kwenye miziki na filamu.Nategemea msimu ujao tuzo kama ya mchezaji bora iwe hata na kisanamu cha mtu anapiga mpira kama Ulaya na kwingineko wafanyavyo hata kwenye vipengele vingine kuwe na utofauti wa aina ya tuzo.
2:Tatizo la Kiteknolojia
Hili nadhani ni tatizo ambalo kila mtu angeweza kuling'amua kwa jana maana kuna wakati utakuta ma MC wanaongea huku tunawekewa video ya goli la chama yaani ilikua vurugu,pia suala zima la picha za wachezaji wanaowania tuzo zilikua na ubora mbovu najiuliza walishindwa kuwaandaa wachezaji walioingia kwenye categories wakawapiga picha za HD ili wawe wanazidisplay pale kwenye screen?
Hayo ni miongoni mwa mapungufu niliyoyaona mimi jana kwenye tuzo za Mo Simba Award,Mbali na mapungufu hayo lakini lazima tukiri tuzo zile zilifana sana watu walipendeza,vituko vya hapa na pale.kila kitu kilikaa mahala pake mbali na mapungufu ya hapo juu ambayo najua wahusika watayafanyia kazi kwa msimu ujayo
Mwisho niwatakie kila la kheri Simba sasa natumani mnaelekea kweny suala la usajili na sherehe za siku ya Simba (Simba day)
Nawaamini mtafanya vizuri kuliko mwaka jana .
Kwanye washiriki wa tuzo ya beki Bora Kapombe hayuko uwanjani muda mrefu ...badala yake angekuwa mohamedi Hussein.
Kabisa mkuu... hapa captain msaidizi hakutendewa haki
Mo anasema haamini kama Simba imekuwa na mashabiki wa kumwaga kila kona. Lakini hajawa na tuzo kwa watoa hamasa,vikundi na matawi ya Simba. Mashabiki lialia kama yule jamaa bonge na yule mfupi analiaga Simba ikifungwa walitakiwa wapewe tuzo
Hizi tuzo walikuwa wanapewa tu au kutokana na kura za mashabiki?
Nafikiri wameziita MO kwa sababu yeye ndo mdhamini. MO ni "brand name" na sio jina la MTU. Akitokea mdhamini mwingine zinaweza kuitwa jina lakeNimeongea kama shabiki wa mpira. Tuache kushabikia personality cults. Tusiabudu watu awe Mo au Manji.