Yaani kwa Yanga hii ikose point 4 kweli katika mechi 5 zilizobakia! Tuwe tu wa kweli, Yanga ndiyo Bingwa msimu huu! Na uzuri wachezaji wote, benchi lao la ufundi na viongozi wao wanatambua fika mashabiki walimiss sana ubingwa.
Hivyo hawawezi kutuangusha.