Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 Dec 20, 2017 #1 Kuna members hapa jukwaani wasisikie jambo hasa kwenye siasa, lazma waje hapa kufufua thread za kitambo ili kujikumbushia na kilichotokea sasa. Kwa lugha nyingine tunaita kufukua makaburi. Ni member gani wanaopenda kufukua makaburi sana?
Kuna members hapa jukwaani wasisikie jambo hasa kwenye siasa, lazma waje hapa kufufua thread za kitambo ili kujikumbushia na kilichotokea sasa. Kwa lugha nyingine tunaita kufukua makaburi. Ni member gani wanaopenda kufukua makaburi sana?
Jurrasic Park JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 3,801 Reaction score 6,806 Dec 20, 2017 #2 Hizi nyuzi za siku hizi ni hopeless kabisa Kesho sio ajabu mwingine akaanzisha ambao hawajatairiwa tukutane hapa
Hizi nyuzi za siku hizi ni hopeless kabisa Kesho sio ajabu mwingine akaanzisha ambao hawajatairiwa tukutane hapa