Tujuzane; Ni mkwara gani uliwahi kupigwa ukiwa kwenye 18 za polisi

Tujuzane; Ni mkwara gani uliwahi kupigwa ukiwa kwenye 18 za polisi

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
mliowahi kuingia kwenye kumi na name za polisi;
Ni mkwara gani mkubwa mliwahi kukutana nao kutoka mikononi mwa hawa jamaa?
Tujuzane!!
 
Nilienda kumtemweka jamaa yangu dhamana,

Askari Akawa anazingua maneno ya shombo...
Nikamwambia hio kazi ni kama dhamana tuu mda wowote unaiacha...

Akataka kunitia selo na mimi, akamwita mkuu wa kituo eti nimesema

"Tutakutana mtaani"

Halafu akaninong'oneza "wewe jua utalisikia tuu" Nikacheka ndio akazidi kumind.

Pona yangu kwenye kuandikisha jina nipewe namba jina la mwisho likawa la asili moja na la mkuu wa kituo aliyekua hapo.
Akaniita nje, sikurudi tena ndani na jamaa akatolewa hapo hapo.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]so bila kuwa kabila moja na mkuu wa kituo ungenyea debe walau kwa siku moja?
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]so bila kuwa kabila moja na mkuu wa kituo ungenyea debe walau kwa siku moja?
Mshenzi yuleee....
Aloo ila mule ndani si pazurii, jamaa yangu kakaa masaa anatoka nguo zinanuka uvundoo...
Akapata na TB.
 
Kwa hizi mada,hawa polisi ni kama mnajaribu kuwapa nguvu ya kufanya udhalimu na uvunjivu wa haki..

Mada ilipaswa iwe ni namna gani uliwahi kutetea uovu wa polisi na siyo kuendelea kuchekea mtendo yao maovu.

Polisi walio wengi ni mkoloni mweusi.
 
Nikiwa Chuo first year ,tulikimbizwa na kikosi kazi wakaishia kumshika demu wangu na bangi nyingi ,ila walivofika nae centro walimwacha kwenye gari wakiwa na makusudi yao kumbe mimi na jamaa yangu tunawafatilia na gari, walivoingia ndani tukamtorosha.
Nyingine walikuja nichukua nikiwa big tayari, nikawaona ni macharii wadogo sana hao cops, ule ukuta nilivouruka nadhani walibaki wameduwaa...wakatishia tunapiga risasi haaa mimi niko mbali!najua havina shabaha yakunipata nikiwa kwenye movement,nikalala nikatambaa na ukuta nilivoikuta kota ,sio mbio zile. hata hivo wakaja MPs kunipeleka kwetu (mwelewa kaelewa)
Done
Ni mengi
 
Back
Top Bottom