Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]so bila kuwa kabila moja na mkuu wa kituo ungenyea debe walau kwa siku moja?Nilienda kumtemweka jamaa yangu dhamana,
Askari Akawa anazingua maneno ya shombo...
Nikamwambia hio kazi ni kama dhamana tuu mda wowote unaiacha...
Akataka kunitia selo na mimi, akamwita mkuu wa kituo eti nimesema
"Tutakutana mtaani"
Halafu akaninong'oneza "wewe jua utalisikia tuu" Nikacheka ndio akazidi kumind.
Pona yangu kwenye kuandikisha jina nipewe namba jina la mwisho likawa la asili moja na la mkuu wa kituo aliyekua hapo.
Akaniita nje, sikurudi tena ndani na jamaa akatolewa hapo hapo.
Mshenzi yuleee....[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]so bila kuwa kabila moja na mkuu wa kituo ungenyea debe walau kwa siku moja?
Kwakweli huko ni jehanam.Mshenzi yuleee....
Aloo ila mule ndani si pazurii, jamaa yangu kakaa masaa anatoka nguo zinanuka uvundoo...
Akapata na TB.
Kabisa mkuu pale ndani si pazuri hata kidogoMshenzi yuleee....
Aloo ila mule ndani si pazurii, jamaa yangu kakaa masaa anatoka nguo zinanuka uvundoo...
Akapata na TB.
Mi mbona nishawahi kaa kama week hivi na nilipaona pa kawaida tu....tena sometimes i miss the life tulilokuwa tunaishi na washkaji mule