Tujuzane sehemu inayotoa mkopo kuanzia milioni moja kwenda juu

Tujuzane sehemu inayotoa mkopo kuanzia milioni moja kwenda juu

Graxsam

Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
83
Reaction score
94
Wadau tujuzane sehemu inayotoa mkopo kuanzia milioni moja kwenda juu kwa njia ya simu. Au hata kwa njia ya cash kama ipo maeneo ya tunduma na mbeya,,,,kwa aliewah kukopa na akapata au mwenye anajua inapopatikana wadau.

Msaada nina shida sana.
 
Ukishakopa unazima simu na kutupa sim card.

Ilikuwa Tala, branch na Airtel kutokana na watu kutokuwa waaminifu wamefirisika
 
Back
Top Bottom